Diamond Platnumz Amuomba Radhi Kiredio

Diamond Platnumz Amuomba Radhi Kiredio


Diamond Platnumz Amuomba Radhi Kiredio

Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa WCB, Damond Platnumz amuomba radhi Mchekeshaji Kiredio na kuahidi kumuunga mkono msanii huyo kwa hali na mali.


Diamond ameomba radhi hiyo baada ya Kiredio kudai kwamba matukio mengi ya Diamond yanafunika matukio mengi ya kwake na hata ya wasanii wengine hivyo anamuomba awe anatoa ratiba yake mapema ili wasanii wengine wapate nafasi ya kufanya matukio yao na yakaenda kwa ukubwa bila kufunikwa na matukio ya Diamond Platnumz.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad