Haji Manara atangaza dau la 50M, ataka msanii yoyote aimbe wimbo wa kumsifia Zaiylissa

Haji Manara atangaza dau la 50M, ataka msanii yoyote aimbe wimbo wa kumsifia Zaiylissa

Ameandika Haya Haji Manara:

Haji Manara atangaza dau la 50M, ataka msanii yoyote aimbe wimbo wa kumsifia Zaiylissa

Leo nakuja na ombi kwa Artists wetu wa kibongo, nataka nitengenezewe wimbo maalum kwa ajili ya @zaiylissa , Nataka nyimbo inayomzungumzia Zay wa Bugaa,Nyimbo ya kumsifu yeye, Nyimbo yenye lahaja za kimahaba!! Songi la kufungulia Mwaka.

Haijalishi ni Hip hop, Bongo flavor,Taarab,Mchiriku,Rap au Singeli, nnachotaka nyimbo iwe tayari kabla ya tarehe kumi January 2024.

Ofa yangu ni Shilingi Milioni Hamsini, Studio na Video juu yangu ila haki zote za nyimbo ni zangu.

Nb: Jina la Wimbo ni Zai wa Buga,Msije na Majina yenu ya kibiringanya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad