Hii Hapa Tofauti Kubwa ya Kocha Gamondi na Nabi iko hapa

 

Hii Hapa Tofauti Kubwa ya Kocha Gamondi na Nabi iko hapa

Tofauti ya Baba Nabi na Profesa Gamondi ni matumizi ya Wachezaji (Rotation) kwa Nabi hakuna aliyekuwa na uhakika wa namba na mpaka kesho alikuwa hatabiriki kwenye kikosi chake cha kwanza, ilikuwa ni suala la mechi ipi inamtaka Mchezaji gani.


Chini ya Baba Nabi kikosi karibia chote kilitwanga, ila tangu ameondoka ni kama ameondoka na Salum Abubakar Sureboy, Farid Mussa, Kibwana Shomari na hata sasa kuna Wachezaji hawapati rotation nzuri, huyo alikuwa Baba Nabi na falsafa yake.


Profesa nae ana falsafa yake, lakini kwa ubora wa kikosi cha Wananchi kinahitaji saana rotation na ingeongeza ushindani mkubwa sana, all in all ni maamuzi ya Kocha na falsafa yake! Ni tofauti na timu nyingine kweli ni unga unga Mwana ila kwa Yanga wana wachezaji wengi sana wazuri. I stand to be corrected

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad