James Tupatupa: Takwimu za Maxi Nzengeli kila siku zinashuka

James Tupatupa: Takwimu za Maxi Nzengeli kila siku zinashuka


Wakati akionekana kuiteka mioyo ya Mashabiki wa Yanga kwa kiwango chake maridhawa akiwa Dimbani.


Kiungo wa Yanga raia wa DR Congo Maxi Mpia Nzengeli bado hajafanya vyema katika mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


Katika mechi tatu za Hatua ya Makundi ambazo Yanga imecheza Maxi Mpia Nzengeli hajatoa asist wala kufunga bao lolote.


Sasa mchambuzi wa Michezo kutoka Clouds FM, James Tupatupa anasema Takwimu za Maxi zinashuka kila leo.


Akizungumza Tupatupa anasema;


“Max Nzengeli kadri siku zinavyoenda ndiyo takwimu zake zinashuka.Au tumsubiri kwenye ligi kuu?”


Jibu lipi linafaa hapa? Tupe maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad