Khadija Kopa Azidi Kumkataa Mazima Diamond Platnumz Kwa Zuchu

 

Khadija Kopa Azidi Kumkataa Mazima Diamond Platnumz Kwa Zuchu

Mama mzazi wa Zuchu, Khadija Kopa anasema hana habari yoyote kuhusiana na uhusiano uliopo kati ya Diamond Platnumz na mwanae Zuchu.


Khadija Kopa amesema anafahamu kuwa Diamond ni Boss wa binti yake kama wana uhusiano basi atafahamu siku ambayo Diamond Platnumz ataenda kutoa mahari.


"Mimi sifahamu mambo sijui ya boyfriend mimi mtu mzima hayo mambo siyajui bwana. Mimi ninachoju Diamond ni bosi wa mwanangu," alisisitiza Khadija Kopa, Malkia wa Taarab nchini.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad