Klabu ya RS Berkane Yatuma Offer ya Mamilion Kumtaka Henock Inonga wa Simba


Klabu ya RS Berkane inayoshiriki Ligi kuu nchini Morocco imetuma ofa ya zaidi ya Million 170 kwaajili ya kuinasa saini ya mlinzi wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Congo Henock Inonga.

Henock amekuwa na misimu miwili bora sana tangu alipojiunga na klabu ya Simba msimu uliopita kuanzia michezo ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara hadi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wana wanajaribu tena bahati yao kama kawaida yao
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad