Web

Kwa Yanga hii, Wataendelea kutesa sana Ligi kuu

Top Post Ad



Ukweli ni kwamba Kama Simba wangekuwa wanatoa mgawanyiko sahihi kwa wachezaji vijana waliowasajili basi wangekuwa na moja ya kikosi bora sana lakini kinachotokea ni vipaji kuozea benchi.

Ukweli ni kwamba kwa ubora waliouonesha Wachezaji wa Yanga ambao huwa hawapati nafasi mara kwa mara basi, kwasasa wakienda Simba wanauwezo wa kupata nafasi Kikosi cha Kwanza.

Pamoja na Gamondi Kufanya Rotation lakini tumeshuhudia ubora kutoka kwa Wachezaji ambao hawakupata nafasi mda mrefu.

Kwa Yanga hii, Wataendelea kutesa sana Ligi kuu.

NB: Yanga Wamefungwa Goli La Msimu

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.