Makamo wa Rais Dr Mpango Ashiriki Ibada Kanisani Dodoma Leo

Makamo wa Rais Dr Mpango Ashiriki Ibada Kanisani Dodoma Leo

Makamo wa Rais Dr Mpango Ashiriki Ibada Kanisani Dodoma Leo

PICHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo December 10, 2023. 

Pichani Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Mapadre mara baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili ktk Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo tarehe 10 Desemba 2023.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad