Makamu wa Rais Yupo nje ya Nchi Kikazi - Majaliwa

Makamu wa Rais Yupo nje ya Nchi Kikazi - Majaliwa


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, yuko nje ya nchi kikazi na kuwataka Watanzania kupuuza taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii.


Mhe. Majaliwa alisema hayo katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma ulioko Mji wa Serikali, Mtumba, wakati akizungumza na washiriki na wadau mbalimbali kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad