Mamelodi walitaka kuwamsajili Vinicius Jr na Luis Diaz

 

Mamelodi walitaka kuwamsajili Vinicius Jr na Luis Diaz

Kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns, Pitso Mosimane kwenye interview na na Metro FM amesema, kabla ya Luis Diaz kusajiliwa Liverpool na Vini kwenda Madrid nyota hao walitakiwa kucheza Mamelodi Sundowns.


“Unajua Luis Diaz wa Liverpool alitakiwa kusajiliwa Mamelodi kipindi ambacho mimi nilikuwa kocha wa Mamelodi na yeye alikuwa Colombia.


“Kila kitu kilikuwa vizuri mwishoni tulichelewa kama siku mbili akasajiliwa na FC Porto, mbali na huyo tulihitaji pia kumsajili Vinicius Jr.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad