Mashabiki Wydad kama Simba tu, hawamtaki Mwenyekiti

Mashabiki Wydad kama Simba tu, hawamtaki Mwenyekiti


Mashabiki wa Klab ya Wydad Club ya Morocco wameanza kampeni za kumuondoa madarakani Mwenyekiti wao wa sasa Said Naciri, hii ni baada ya klabu hiyo kutokuwa na mwenendo mzuri kimataifa (CAFCL)


Mpaka sasa klabu ya Wydad imecheza michezo miwili (2) hatua ya Makundi huku ikipoteza yote.


Sasa Mashabiki kindaki ndaki wa klabu hiyo wanataka Mwenyekiti wao ajiuzulu baada ya vipigo viwili walivyopata dhidi ya Asec Mimosas na Jwaneng Galaxy,


Lengo la Mashabiki wa klab hiyo ya WYDAD AC kutaka timu yao ishinde kwenye kuanzia mchezo wao Ujao la sivyo watakinukishaa hatari.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad