Mchezaji Pacome Akabidhiwa zawadi ya Mchezaji Bora wa Mwezi

 

Mchezaji Pacome

Shirika la Bima la Taifa (NIC) leo Desemba 18, 2023 limekabidhi mfano wa hundi ya malipo kwa mchezaji bora wa mwezi Novemba 2023 kwa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua yenye thamani ya Tsh 4,000,000/=.


Hundi hiyo imekabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Ndg Kaimu Abdi Mkeyenge.


NIC ndio wadhamini wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa klabu hiyo (NIC Player Month).


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad