Msanii Rayvanny Afunguka kuzimiwa mziki Wasafi Festival Arusha


Msanii Rayvanny amefunguka kuwa alizimiwa mziki alipokuwa anafanya show ya wasafi festival mkoani Arusha na sababu Ni kwamba muda wa show ulizidi na aliyefanya hicho kitendo alikuwa ni mmoja wa wafanyakazi wa Wasafi na Rayvanny alimfuata alivyoshuka stejini na kumsema kwa kuwa haukuwa utaratibu mzuri kwasababu ni kitendo kilichomkera mpaka kufikia kumfikishia habari Diamondp ambaye ndio boss wa show hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad