Onana Aitanguliza Simba Mguu Mmoja Robo Fainali

Onana Aitanguliza Simba Mguu Mmoja Robo Fainali


Willy Osomba Onana ndiye shujaa wa mchezo, ameitanguliza Simba SC mguu mmoja Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika kwa kutupia magoli mawili katika mchezo dhidi ya Wydad Casablanca.


Magoli ya Onana aliyafunga dakika ya 36 na 38 katika mchezo huo wa nne wa hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.


Simba amefikisha alama 5 katima msimamo wa kundi lao akiwa nafasi ya pili nyuma ya ASEC Mimosas ambao wana alama 7. ASEC atacheza na Jwaneng muda mchache ujao.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad