Orodha ya nchi 10 masikini zaidi Duniani

 

Orodha ya nchi 10 masikini zaidi Duniani

Orodha hii imeakisi Nchi zenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, migogoro ya kikabila na Dini.


Aidha, Uviko-19, mfumuko wa bei unaoongezeka kutokana na vita nchini Ukraine vilifanya hali za Nchi hizo kuwa mbaya zaidi.


10. Liberia

9. Chad

8. Malawi

7. Niger

6. Msumbiji

5. DRC

4. Somalia

3. CAR

2. Burundi

1. Sudan Kusini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad