RASMI: Mechi ya Yanga vs Medeama kupigwa saa 10 jioni

 

RASMI: Mechi ya Yanga vs Medeama kupigwa saa 10 jioni

Mechi ya klabu Bingwa Afrika, Yanga SC dhidi Medeama itachezwa saa 10 Jioni tarehe December 20- 2023 Siku ya Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa Tanzania.


Yanga ipo kundi D sambamba na Timu za Al Ahly, Medeama na CR Belzoudad na tayari imeshacheza mechi 3.


Muda wa mechi unapangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad