Wahanga wote wa keshas saloon tafadhali someni haya maelekezo ya waziri vizuri na muwasiliane nae.
Tafadhali msione aibu, kwenye hizi kesi za sexual assault sidhani kama huwa wanataja victioms publicly kwa majini.
Tafadhali tunaomba muwe strong ili huyu jamaa aweze kuchukuliwa hatua na muweze kupata haki zenu.
Ahsante sana Waziri @gwajimad, I think wewe ndio waziri namba 1 kwa kuwa responsive na malalamiko ya wananchi.