“Sina hofu na Yanga lakini nawapa angalizo ,wanaenda kukutana na timu ambayo inamatarajio makubwa,jukumu kubwa ambalo wanalo ni jinsi gani watahakikisha wanapata alama tatu”
“Wasipokuwa na mipango thabiti pointi tatu wanaweza wakazikosa vile vile ,lakini ukiniuliza kuhusu matumaini sina hofu nauachia mpira uweze kutoa majibu”
DIGALA amefunga hivyo kilichobaki ni kusubiri kuona hiyo saa moja nini kitatokea.