Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally imetangaza kiingilio kwenye mechi yao ya nne hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca siku ya Jumanne Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo mzunguko Sh5000, VIP C Sh10,000, VIP B 20,000, VIP A 30,00 na cha juu ni Sh150,000.
Simba vs Wydad kwa Mkapa kiingilio 5000
0
December 15, 2023
Tags