Simba Wakubali Kichapo Dakika za Jioni, Waburuza Mkia Kundi B

 

Simba wakubali kichapo dakika za Jioni, waburuza mkia Kundi B

Wekundu wa Msimbazi, Timu ya Simba SC imekubali kichapo cha 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca na kuporomoshwa mpaka mkiani mwa msimamo wa kundi B.


Mchezo huo wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika umepiga katika Dimba la Marrakesh nchini Morocco.


Bao pekee la Wydad katika mchezo huo limefungwa na Zakaria Draoui dakika ya 90+5', na kuwapa ushindi wa kwanza Wydad.


MSIMAMO KUNDI B


Asec (pointi 7)


Jwaneng (4)


Wydad (3)


Simba SC (2)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad