Timu ya Usm Alger Kutoka Algeria Wanamtaka Max Nzengeli

Timu ya Usm Alger Kutoka Algeria Wanamtaka Max Nzengeli


Tetesi kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika inasemekana klabu kutoka nchini Algeria ya Usm Alger kutaka kutuma ofa ya dau nono hili kufanikisha kumpata mchezaji wa kimataifa kutoka DR Congo Max Nzengeli .


Usm Alger ni Mabingwa wa kombe la shirikisho la msimu uliopita baada ya kufunga Yanga kwa faida ya goli la ugenini naona Sasa wanataka kuwafunga tena.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad