Vifo vya Mafuriko ya Hanang Vyafikia 80 Huku Majeruhi Wakiwa 116

Vifo vya Mafuriko ya Hanang Vyafikia 80 Huku Majeruhi Wakiwa 116


Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema hadi kufikia Mchana wa Desemba 08, 2023 idadi ya vifo kutokana na Maafa ya Mafuriko ya #Hanang imefikia 80 (Watu wazima 48 na Watoto 32) ambapo Miili 79 imekwishatambuliwa

Aidha, idadi ya Majeruhi waliopokelewa katika Hospitali za Mkoani Manyara imefikia 133 (Watu wazima 71 na Watoto 62) ambapo Waathirika wote wanatibiwa bure kama agizo la Rais Samia lilivyotaka na Serikali inagharamia mazishi ya waathirika wote

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad