Wafanyabishara Ambao Maduka yao yameteketea Moto waililia Serikali

 

Wafanyabishara ambao maduka yao yameteketea moto waililia Serikali

Baadhi ya wafanyabiashara ambao maduka yao yameteketea kwa moto eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam wameiomba Serikali kutafuta chanzo cha moto huo.


Moto huo unatajwa kuunguza maduka hayo usiku wa kuamkia leo Jumanne Desemba 5, 2023.


Endelea kufuatilia mitandao ya Mwananchi kwa taarifa zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad