Waziri January Makamba Afunguka Kuhusu Mtanzania Mwigine Aliyeuawa Huko Israel


Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba amesema “Tumejulishwa na Serikali ya Israel kwamba #JoshuaMollel, kijana mwingine wa Kitanzania aliyekuwa anasoma Nchini Israel aliuawa mara tu baada ya kutekwa na Kundi la Hamas mnamo Oktoba 7, 2023.”

Ameongeza “Nimeongea na Mzee Mollel (Baba wa Joshua), kuhusu ujumbe huo wa Serikali ya Israel. Tunaendelea na mpango wa awali wa kuwapeleka Mzee Mollel na Mwanafamilia mwingine pamoja na Afisa wa Serikali Nchini Israel ili kupata taarifa zaidi. Kwa ridhaa ya Familia tutatoa taarifa za zaidi katika siku zijazo."
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad