Ahmed Ally Ashtuka na Kuguna "Henock Inonga Hauzwi, Epukeni Matapeli"

 

Ahmed Ally Ashtuka na Kuguna "Henock Inonga Hauzwi, Epukeni Matapeli"

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa Klabu yao haitamuuza beki wao kisiki, Henock Inonga.


Inonga aliyeg'ara na timu yake ya Taifa ya Kongo ambayo imefuzu Robo Fainali AFCON, anadaiwa kunyemelewa na Vilabu vya Al Ahly na RS Berkane ya Morocco.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad