Angalla Atoa Siri Kubwa "Mimi na Dulla Makabila ni Wapenzi Miaka Miwili Sasa"


Angalla Atoa Siri Kubwa "Mimi na Dulla Makabila ni Wapenzi Miaka Miwili Sasa"

“Mimi na @dullamakabila tulikuwa wapenzi kisirisiri kwa miaka miwili japo baadae mwenzangu alikuja kuyaweka wazi. Sababu ya sisi kutengana ni yeye alikuwa na mambo mengi na Ubusy sana maana mimi napenda Time na attention” @anjella_tz

“Mahusiano yetu yalikuwa kabla hajaoa lakini alipooa tukabaki mashkaji tu ila alipoachana na Mkewe tukarudiana, japo Mapenzi yetu yalikuwa ‘ya kisela’ sana atazunguka kote lakini anarudi kwangu” @anjella_tz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad