Baba yake Mohbad Adai Kutishiwa maisha na Mke wa Marehemu Mohbad

Baba yake Mohbad Adai Kutishiwa maisha na Mke wa Marehemu Mohbad

 

Baba wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameeleza kuwa aliyekuwa mke wa #Mohbad, Wunmi na wakili wake wanatishia kumuua.


Baba Mohbad, Joseph Aloba ameweka wazi suala hilo wakati akizungumzia kuhusiana na kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya mwili wa mwanaye pamoja na #DNA na kueleza kuwa alipigiwa simu ya vitisho na #Wunmi ambapo amedai kuwa amerekodi kila kitu.


Ikumbukwe kuwa Marehemu #Mohbad alifariki Septemba 12, 2023 Ikorodu nchini #Nigeria.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad