Benchikha: Sijaridhishwa na Kiwango cha Timu yangu


Baada ya mchezo wa Jku Vs Simba mchezo ambao Mnyama ameibuka na ushindi wa goli tatu Kwa moja kocha mkuu wa kikosi cha Simba (Benchika) ameweka wazi kuwa hajaridhishwa na kiwango cha Timu yake


"Sijaridhishwa na performance yetu Leo tumefanya makosa mengi," amesema Benchika baada ya mchezo huo.


Hata hivyo, Benchikha aliwapongeza wachezaji wake kwa kufanya vizuri hususan kijana ingizo jipya Karabaka ambaye alitupia goli ndani ya dakika mbili baada ya kuingia mchezoni akitokea benchi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad