Burna Boy Atua Abidjan Kuipa Nguvu TIMU ya Nigeria AFCON

Burna Boy Atua Abidjan  Kuipa Nguvu TIMU ya Nigeria AFCON


AFCON 2023: Burna Boy ametua Abidjan siku mbili kabla ya mechi ya mwisho ya Kundi A, kati ya Nigeria dhidi ya Guinea-Bissau, itakayochezwa Jumatatu, Januari 22.


Mshindi huyo wa tuzo ya Grammy ameongozana na meneja wake ambaye ni Mama yake mzazi huko Cote d’Ivoire, akiwa tayari kwa mchezo huo muhimu wa Kundi A katika Kombe la Mataifa Afrika 2023.


The Super Eagles wana alama nne sawa na Equatorial Guinea vinara wa Kundi A.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad