Diamond platnumz abadili gia angani baada ya kutangaza kuwa single mapema leo: "Ningependa niwatangazie rasmi kuwa I AM SINGLE, si date wala sina mahusiano na mwanamke yoyote... hivyo nisiwekewe mwanamke yoyote kama mwanamke wangu, itapotokea ku date ama kuwa na mahusiano nitawajuza ama kuwatambulisha as i always do!".
Sasa Platnumz ametoka hadharani tena na kudai kwamba suala la kuwa SINGLE limeshindikana hivyo anaendelea kula raha, Hubani kwenye Kisiwa na Kitongoji kile kile cha Karafuu.
"Na wote Mliokua mnashadadia poleni sana, siku nyingine acheni papara, mjifunze kuskilizia hata kidogo! Watu hawaachani hivyo".