Diva Amuacha Mumewe Live Kupitia Instagram ' Naomba Nisihusishwe na Ndoa Kwa Abdul"


Diva Amuacha Mumewe Live Kupitia Instagram ' Naomba Nisihusishwe na Ndoa Kwa Abdul"

Diva Ameandika Haya:

"Naomba Nisihusishwe na ndoa kwa Abdul.
Sina shida ...
maana naonekana kila siku ka vile sijielewi najielewa sana nna utu tu ... mi nina moyo tu wa upendo kusamehe na kuona watu hawajakamilika , nafikiri hilo ndio tatizo ila cha zaid not desperate na ndoa .. kuna watu mi wananipenda sana tu .. @sheikh_abdulrazak_salum yeye mwenyewe anajua kati yangu na yeye nani anamfataga mwenzie. Marriage wit you inahusisha sana brand yangu .. we mwenyewe pia unatumia my brand buana abdul ..
.....
Na napost sion ajabu kina kim k wanapitia haya na wanaongea ktk reality tv shows zao cha ajabu mi kupost nini. Abdul ana ndugu kigambon wako very loyal sijawahi wataja kaka ake mi napatana nae izadin sijawahi mtaja tatizo ni yeye na dadake anaitwa sharifa na mamake wanajua wanachofanya sina la kuogopa naomba sasa nione hio status yake ktk jamii ilioshuka ikipanda. Jus acha kuniongelea ktk interview tuone how far utaenda yan mambo ya mume wake diva yaishe tuone hio status yako sasa status gan bwana wee ...
Huna adabu na huna heshima na ndoa na yoyote that is YOU.
Nakuteteaga sana tu ila aaah the changes in life begins with you you have problems tamaa tamaa .. ya hela za wanawake na hela za watu zinaenda kukuponza na kukudhalilisha kijana maana maisha yako yako nje sana .. sasa niache move on tuone how status yako. Mi bakwataaa naingizwa ktk mambo yako mmekutana huko mnaniingiza nn kwanza mama mtu mzima yule mie vita nae wa nn .. nyie kaen kushoto malizaneni wenyewe nitoen ktk ujinga wenu.
By the way nimejibu apa mange leo ataingiza vibukubuku maana mi ndio nyota yake bila mi hauzi yule dada yan akilala akiamka yuko namimi khaa hadi huruma ... as kwa Abdul vuna ulichopanda sasa. Mume wa Diva sijui bla bla imetosha kutumia jina langu fanya mambo yako kivyako usiniingize usinihusishe kial siku ww tu mtu gan wewe khaa!. haya jaman matangazo dm bei ileile. kazi iendelee" Diva

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad