"Sikutaka Kupost Hii ila Jana Nilipigiwa simu na huyu Mama akiwa ananitishia Maisha I have messages , alituma Ma Message sikumjibu , Anadai yeye yuko ktk system , Maisha yangu Yako Mashakani.
Sielewi why ana deal na Mimi sana anatumia nguvu nyingi sana kwa Mange lakini as far as iknow anashirikiana na Mange na Ndugu Zake Abdul Kunichafua akiwa dada ake Abdul anaitwa Sharifa.
Nimeishi Maisha ambayo ilifika kipindi nikifika kwa kina abdul sili naogopa kuwekewa dawa ambazo kwa Macho niliona zinafanyika, ushirikina Mwingi sana lakini Mi nikawa na deal na abdul Pekee sababu ndio alienioa na hata hao aliowapa talaka walipitia hali hii, Baba yake Abdul Mzee yule Nampenda Mzee Mwema sana Yule alisema anawajua na atanilinda na anajua mengi yataibuka ,
Tatizo hapa ni Abdul Mama Angu si ndio Maana ni mtu ambae unaweza Mzaa lakini ukakubali alale na wewe alikuwa anakutumia kifedha. status ya Abdul ktk jamii ilioshuka Ipi jaman he got the fame kwa kunioa si zaid , anapostiwa na Mange sababu he married a brand na huyo Mama Fatuma nae she is all for fame sababu Kama Umeolewa na Abdul like una claim na anakukana on Public why you all over me kama hutaki umaarufu?
Kuoana kwenu kuwa kwenu katika Maisha miez michache hio kunanihusu nini, wewe sio wa Kwanza abdul kawatumia wanawake umri wako sana ili achume fedha, na nilikuambia kuna wenzio walikuja kwa speed hiohio uzur haya mambo yote i reported juzi Police kwa usalama wangu Mwenyewe na jana ulivyotuma message i did the same sababu kiukweli Abdul anakutumia jiangalie vizuri , najua umempa sana hela alikuwa ananipa na alikuwa anahangaika akisema yuko tayar kufanya lolote niishi vizuri utofauti ni I am a hard working , Mi sina Uchafu sina kona I am always Diva na nakwambia mi hamna mnanichafua watu wananijua nyendo zangu. Huyu @sheikh_abdulrazak_salum kakutumia Mamangu chutama .. he never loved you hizo message zote voicenote ni sababu he was all over you umpe hela. Pia ulifanya hivyo kwa kwa wanaume wengine pia uliowahi kuwa nao maisha yako yako wazi Arusha unajulikana unavamia ndoa za watu kwa kujifanya una cheo na unaanza honga ili uwe nao ubaya ni huna bahati sijui yarab maana you always ending up hurt. Pole ila achana namimi" Diva