Kupitia kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia sakata la Harmonize na DJ wake ambaye ni DJ 7 wakielezwa kugomana kisa Mwanamke.
Ukweli ni kwamba D Seven ameacha kufanya kazi na Harmonize kisa Harmonize amemchukua mwanamke wake ake ambaye ni Posh Queen, DJ Seven na Harmonize ni marafiki wa muda mrefu sana na wamefanya kazi pamoja kwa Muda mrefu sana.
@el_mando_tz ansema ni jambo la aibu sana kusikia marafiki waliofanya kazi pamoja kwa muda mrefu an wamekuwa kama ndugu leo amegomana kisa mmoja kumchukua mwanamke wa mwingine kisa tamaa tu.
@el_mando_tz anasema inawezekana Harmonize akawa anaiharibia uaminifu kwa watu wake wa karibu hata wafanyakazi ake kisa tamaa za wanawake.
@el_mando_tz anasema kuwa kwa maoni yake DJ 7 asingeacha kazi nna huenda aliweka mataraio makubwa kwa mtu ambaye hakuwa na malengo naye lakini pia Posh Queen hakuwahi kupost popote kuwa yupo naye kwenye mahusiano.
Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??