Dulla Makabila na Rushaynah Wajitosa Penzini




Usiku wa kuamkia leo, akiwa jukwaani Dulla Makabila amemtambulisha Rushynah kama mpenzi wake mpya, Rushynah ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake Dubai amesema amekuja Tanzania kwa ajili ya Dulla Makabila.

Ikumbukwe Rushynah amewahi kuwa mke halali wa Hajji Manara, ambapo kwa sasa Haji Manara amemuoa Zaiylissa ambaye amewahi kuwa mke halali wa Dulla Makabila.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad