Faiza Ally Amkingia Kifua Baba Levo Vita ya MKE wake na Mchepuko "Huyu Ndio Mwanaume"

Faiza Ally Amkingia Kifua Baba Levo Vita ya MKE wake na Mchepuko "Huyu Ndio Mwanaume"

Faiza Ally ameandika haya Kufuatia Ugomvi wa Mke wa Baba levo na Mchepuko:

Kama ungeamua kumsikiliza baba levo vizuri kwa kutaka kuelewa ungemuelewa. kama ukimsikiliza kutaka kumjaji hutuelewa kabisa , binafsi nimemuelewa .. mm nimependa anavyo simama kwenye ukweli japo inaonekana anampenda mama Ruby lkn amesimama kiume kweli yaani huyu ndio mwanaume hasa ! Yaani huyu anafaa kuoa hata wake wa 4 ! Na akasimamia vizuri kabisa ! Wanawake tuna tabia ya kuyumbisha wanaume huyu anaonekana HAYUMBISHWI ! Sijui storia ya nyuma lkn kutokana na maelezo aliyo yatoa yuko sawa kabisa labda kama sio kweli ! wewe mke umeondoka nyumbani mwaka , ume acha watoto nyumbani wa kike , lazima unapo ondoka gape lako lizibwe angewezaje kulea watoto tena wakike bila mke nyumbani ? Asmah hana kosa kacheza nafasi yake vizuri kama mke , kalea watoto katulia baada ya mwaka unataka kurudi mwenzio katolewa kwa ajili yako kwa sababu wewe ni mke na ni mama na wewe Ndio umechaguliwa ! Mpaka hapo si sawa kisheria Asmah tayari ni mke ! Lkn umethaminiwa wewe ukarudishwa mwenzio katolewa Je ulitaka baba levo amdamp kama kisicho faa wkt amemlelea wanae mwaka Mzima ? Yaani mm ningekua wewe kwa kweli kwanza ningemshukuru mume wangu kwa kunirudisha nyumbani kama mke maana hapo tayari umesha mzidi Asmah ningekutulia tu nicheze nafasi yangu kama mke huku nikiendelea kuomba Mungu mume wangu awe wangu tena ningemuombea na huyu Asmah apate wake aniachie wangu ! Hongera @officialbabalevo kwa kuto kumuacha Asamha kama kitu kisicho faa na kumuhifadhi na kumlinda kama mwanamke anae stahili heshima pia . Ndoa itabaki kuwa ndoa lkn kila mwanamke hata asiolewa ana stahili kuheshimiwa pia . Pia Hongera hata ulipo achana na mama ruby bado ulismamia Familia kama inavyo paswa kuwa . MIMI BAADA YA KUSIKILIZA INTERVIEW YAKO NIMEOMA KTK WANAUME WA MAANA NA WENYE MISIMAMO WEWE NI WA MAANA SANA YAANI KWA SABABU WEWE NI MKRISTO LKN KAMA UNGEKUA MUISLAM NINGESHAURI UOE WOTE WAWILI MAANA UNA WA MUDU . wako wanaume wengi wapuuzi eti kwa sababu tu ameoa mke wake hata afanya madudu vipi ana jifanya kipofu hata kama anaona anakosea bado yuko upande wake ! HIYO SIO ADABU NI UJINGA ! #temporalypost @mwijaku baba levo yuko sawa yako yakujifunza mengi kwa wanaume na wanawake kupitia baba levo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad