Gigy Money: Mwanaume Ajitokeze Nimzalie Mtoto

 

Gigy Money: Mwanaume ajitokeze nimzalie mtoto

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gigy Money amewashangaza baadhi ya mashabiki zake kwa kutokana na kitendo cha kuomba wanaume wajitokeze ili awazalie.


Gigy kupitia kwenye kipande cha video hiyo, alionekana akiwa amebeba mtoto huku akitoa ofa kwa wanaume ambao watakuwa tayari, wajitokeze ili amzalie mtoto.


"Natoa ofa kama kuna mwanaume atakayehitaji nimzalie ajitokeze, maana nahitaji mtoto mchanga wa kumbeba," amesema Gigy Money.


Una maoni gani kuhusu Gigy.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad