Haji Manara Amshukia Mchambuzi Geoff Lea Baada ya Kuweka Wazi Yeye ni Shabiki wa Simba

Haji Manara Amshukia Mchambuzi Geoff Lea Baada ya Kuweka Wazi Yeye ni Shabiki wa Simba

Haikatazwi kwa Mwandishi kushabikia team flani lakini kujitambulisha kama hivi automatic unakuwa ushapoteza uhalali wa kuaminika na team nyingine.

Haji Manara Amshukia Mchambuzi Geoff Lea Baada ya Kuweka Wazi Yeye ni Shabiki wa Simba

Unaweza kusema au kuandika kitu cha kweli kuhusu Yanga na labda hakitawapendeza Washabiki ,lakini kwa kuwa ushadeclere ufuasi wako wa Makolo,,itaonekana una nia mbaya tu.

Tujitahidi kujizuia hisia zetu kama bado tunaendelea kufanya kazi kwenye media!! Tubaki njia kuu ya Professionalism, ili tupate Legitimacy ya kukosoa na kupongeza both sides.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad