Haji Manara na Zaylisa Wafunga Ndoa Kimya Kimya


Haji Manara na Mchumba wake wa Muda mfupi Zaylisa mwigizaji wa Tamthilia ya Jua kali wamefunga Ndoa ya kimya kimya Rasmi, Haji Manara amepost picha za Ndoa hiyo na Kuandika maneno haya:

"Sasa ni Rasmi tutambulike
Mr and Mrs Haji Manara🕌❤️" Haji Manara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad