Hari Imeongezeka Kwa Wachezaji wa Tanzania AFCON Huenda Tukashinda Mechi ya Leo Dhidi ya Zambia

Hari Imeongezeka Kwa Wachezaji wa Tanzania AFCON Huenda Tukashinda Mechi ya Leo Dhidi ya Zambia

Yahaya Mohamedy ambaye yupo San Pedro, Ivory Coast amesema ari na morali imeingezeka kwenye kikosi cha Taifa Stars kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Zambia.

“Naona hamasa kwenye timu imeongezeka sana ‘automatically’, jana nilikuwa kwenye mazoezi ya mwisho ya Taifa Stars nimeona kila mchezaji anautaka mchezo wa leo.”

“Tulizungumza na Mohamed Hussein na Dickson Job, wote wanautaka mchezo. Nafikiri kuna hali fulani ambayo imeonekana kambini kila mchezaji amehamasika.”

“Himid Mao pia wakati anazungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari alisema wao kama wachezaji wanahisi wana deni la kuhakikisha wanashinda mchezo wa kwanza kwenye historia ya AFCON.”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad