Henock Inonga na Ibrahim Bacca Watakiwa Haraka FAR Rabat ya Morocco



Baada ya kiwango bora walichokionesha AFCON, Henock Inonga na Ibrahim Bacca, FAR Rabat ya Morocco inahusishwa kuwataka mabeki hawa wawili wa kati wa Simba na Yanga kwa pamoja dirisha lijalo la usajili.

Ni timu ipi itapata pigo zaidi kati ya Simba na Yanga wakiondokewa na mabeki hawa…..⁉️.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad