Kocha wa Senegal Afunguka Kwa Uchungu Baada ya Kutolewa AFCON "Ni Aibu Kubwa"


Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal Aliou Cissé ameyapokea matokeoa ya jana kwa huzuni kwa sababu wao kama timu walijiandaa kubeba ubingwa wa AFCON.

“Tumeumia sana kupoteza ,na hii ni kwa wachezaji na hata watu waliopo Senegal kwa sababu imani yetu ilikuwa kushinda hili taji ,kulikosa ni aibu kwetu”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad