Mali Waichapa South Africa Goli Mbili, Diarra Aondoka na Clean Sheet Langoni



AFCON | FULLTIME
MALI 🇲🇱 2-0 SOUTH AFRICA 🇿🇦
⚽️ 60 Traore
⚽️ 66 Sinayoko

Dakika 90 zimemalizika kwa timu ya Taifa ya Mali kupata ushindi wa mabao 2-0 huku kipa wa Yanga Diarra Akiondoka na Clean Sheet na hii inawafanya waendelee kuweka rekodi ya kutokupoteza mechi yoyote ile ya mwanzo hatua ya makundi ya AFCON kwa misimu zaidi ya 13.

Game ilikuwa safi kwa maana ya namna timu zote zilivyokuwa zinapishana ! South Africa 🇿🇦 wamechezea nafasi Mali wamewafundisha namna ya kutumia nafasi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad