Man City Kushushwa Daraja Ligi Kuu Uingereza

Man City Kushushwa Daraja Ligi Kuu Uingereza


Klabu ya Manchester City itakumbana na adhabu ya Kushushwa daraja endapo itakutwa na hatia ya Makosa ya FFP,lakini hatua hii itabaki kuwa ya matazamio na haina uwezekano wa kukubalika moja kwa moja .


Adhabu hii itatokana na hatia ya mashitaka ya makosa 115 yanayowakabili ya kuvunja kanuni za Uendeshaji wa vilabu EPL


Adhabu zingine ni kukatwa alama 30 na kupigwa faini hii itategemea na msimamizi wa kesi hiyo ataamua kutoa hukumu ipi kama akiwakuta na hatia.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad