Ameandika Mange Kimambi:
Jamani amkeniiiiiii, mnalala mna hela?? Mnalala mna umeme?? Amkeniiiiiiiiiii….. Mzanzibary dawa zimeisha nguvu…..Nyie uchawi una mwisho….
Nyambaf cheza na mama Dangote wewe? asipokutaka huwezi kutoboa…. .
Pumbav shobo zote zile kwa kina Tifa na chini kapigwa. Ametumika ka jinga kurekodi Young famous and African alafu limepigwa chini. Kama namuona huko anavyokusanya mawe aruke geti akavunje vitu 🤣🤣🤣🤣🤣
@diamondplatnumz Mdogo wangu kuanzia leo mi fan wako. Jamani usiniangushe ukarudi kwa king’ang’a maana nitalia mpaka kwikwi…. Usirudi kule mdogo wangu… Janamke chawi liwe….Kweli wee Diamond Platnumz unatokaje na kile kituko hata mimi nimekishinda tako??? Lilikuloga lile janamke mdogo wangu na umechomoka sababu mamako nae fundi…
Sasa tulia mdogo wangu mi ntakupa mwanamke wa hadhi yako, yani mwanamke ambae ukitoka nae watu wanatetemeka sio lile li Zanzibari ukitoka nalo watu wanashindwa kutatofautisha nani mwanamke nani mwanaume kati yenu. Mwanamke gani yule hana tako, hana nyonyo hana sura kila kitu kanyimwa? Tulia hapo hapo mdogo wangu nakuletea bonge la demu mpaka wenzio kina Kiba na Harmo wakuonee wivu…King’ang’a alikushushia hadhi mnoo mpaka ukaonekana huna hela ndo maana huwezi kuwa na demu mkali kumbe umelishwa kömbe la Unguja…
@diamondplatnumz Gazetu hili nimeandika alafu urudiane na king’ang’a haki utakuwa umenivua nguo. Ntalia mpaka nitambae chini…. Mdogo wangu soma dua kila wakati kuanzia usiku huu maana king’ang’a lazma akamlilie mamake, watakusomea makombe ya Pwani mpaka urudi bila kujijua imerudije. Soma dua.
Now it makes sense why Aaliyah kaalikwa shughuli ya kesho, nilijua tu Dai ndo kamwambia Manara amwalike. Haya ndio mambo niyapendayo mimi …Nyieeeeeeeee !!!!
Nyambaf king’ang’a ukamchamba dada wa taifa kisa Rouhy, Rouhy my foot!! Sasa Rouhy tunae na tunatamba nae, kimekuramba.