MBOWE: Polisi Dar es Salaam Wameruhusu Maandamano ya Chadema


MBOWE: Polisi Dar es Salaam Wameruhusu Maandamano ya Chadema

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kuwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeruhusu maandamano yaliyopangwa kufanyika Januari 24 mwaka huu yafanyike.

Amesema chama hicho leo kimefanya kikao na Kamanda Jumanne Muliro na amelipongeza Jeshi la Polisi kwa busara hiyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad