Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13


Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan.

#Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake ya kwanza Januari 17, 2024 dhidi ya Morocco.

Mdau wa Soka, unatarajia matokeo ya aina gani kwenye Mchezo wa leo na unatabiri Nchi gani itaondoka na Ubingwa mwaka huu?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad