MLANDEGE mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Waifunga Simba


MLANDEGE mabingwa wa Kombe la Mapinduzi
MLANDEGE mabingwa wa Kombe la Mapinduzi

MLANDEGE mabingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo [2023 na 2024] wakichukua kombe hilo mbele ya timu za Tanzania bara.

Mlandege imefanikiwa kulibakiza Zanzibar Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba kwenye mchezo wa Fainali

Mwaka uliopita Mlandege iliifunga Singida Big Stars na kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa mara ya kwanza kwenye historia ya mashindano hayo.

Mlandege inakuwa timu ya kwanza ya Zanzibar kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi mara mbili. Miembeni ni timu nyingine ya Zanzibar ambayo imewahi kutwaa ndoo.

Wale mashabiki wa Mlandege FC mnakaribishwa @MakanzaCompany mjipatie pikipiki aina ya Kingbossi kwa bei kitonga kabisa kwa hisani ya Mapinduzi Cup!
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad