Mwanamke Usijishafishe Sehemu za Siri Kama Unapiga Mswaki



"Kuna wanawake wengine wanajisafisha kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yao. Anajisafisha kila siku kwenye sehemu ya uke ya ndani hiyo pia ni tabia ambayo si rafiki maana yake inafanya ile sehemu viji-bacteria vilivyoumbiwa kuwepo pale kuondoka kwahiyo ile sehemu inabaki kama ni lindo ambalo halina walinzi kwahiyo vijidudu vya bacteria na maadui wanaingia muda wowote na wanajinafasi kwa sababu hakuna ulinzi. Kwahiyo wanawake wengi wanapata UTI Sugu sababu kubwa nyingine ni hizo" Dr Ikrah Abdallah, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Hospital ya Rufaa ya Mkoa Wa Temeke
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad