Mwanamuziki Nandy Aeleza Hali yake Baada ya Kuanguka Jukwaani Vibaya

Mwanamuziki Nandy Aeleza Hali yake Baada ya Kuanguka Jukwaani Vibaya


Mwanamuziki @officialnandy amewatoa hofu mashabiki zake baada ya kudondoka jukwaani usiku wa juzi kwenye show ya @marioo_tz.


Nandy anasema kuwa sababu ya kudondoka ilitokana na kuchoka. Kwa sasa Nandy anaendelea vizuri na ameatakia heri ya Mwaka mpya mashabiki zake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad