Mwanasheria "Shaffih Dauda Kumkosa Chasambi Ndio Maana Anamchafua"


Shaffih Dauda Kumkosa Chasambi Ndio Maana Anamchafua
“Shaffih alimtafuta Chasambi nakumuambia amemtafutia Timu ulaya ila chasambi akamuambia zungumza na Meneja wangu na kweli alitututafuta. Tukamuambia kama kweli Ofa ipo mezani ilete lakini hakuna Ofa aliyoleta hivyo baada ya kuona kaenda Simba ndio kaamua kuongea haya ili kumchafua Mchezaji”

“Sisi tunaona haya yote yametokana na (personal interest) yeye kumkosa Chasambi kwenye Kampuni yake ndio maana ameongea haya yote” Msimamizi na Mwanasheria wa Ladack Chasambi wa Simba Sc.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad